Matata Kipepeo Jungu
Member
- Aug 19, 2022
- 39
- 39
Sijakuelewa mkuu....hivyo najua vyote.... shida yangu ni hiyo niliyoeleza hapoMkuu kuna. Sheet, columns na cell
Sheet huwa ndo imebeba columns na cell
Columns huwa ndo ile mistari ya kutoka juu kuja chini
Cell ni ile mistari ya kutoka kulia kwenda kushoto
Kwanini usisort by hiyo column yenye marks,Z to AWakuu kwema?
Naomba msaada wa excell.
Naandaa template ya matokeo kwa shule za MSINGI.
Sheet 1 nimeweka kwaajili ya kujaza alama.
Sheet 2 nimeweka sehemu ya matokeo,yaan madaraja ya kila somo,jumla na kadhalika.
Sheet 3 Nimeweka kwaajili ya rank,yaan aanze mwenye alama kubwa kwenda ndogo
Sheet 4.....5....6....
Tatizo lipo hapo kwenye rank....nashindwa kuweka fomula ya kupanga wanafunzi kwa kuanza na mwenye alama kubwa kwenda ndogo....ifanye excell yenyewe na sio kuja kufanya manually baadae....msaada tafadhali!
Yaan unataka ukiwa una-input data, Excel inazi-process hapo hapo??ndogo....ifanye excell yenyewe na sio kuja kufanya manually baadae....msaada tafadhali!
NdiyoYaan unataka ukiwa una-input data, Excel inazi-process hapo hapo??
Sijakuelewa mkuu....hivyo najua vyote.... shida yangu ni hiyo niliyoeleza hapo
Ungekuwa unajua maana ya sheet usingeandika hiki ulicho kiandika. Jamaa amekufafanulia vizuri.Sijakuelewa mkuu....hivyo najua vyote.... shida yangu ni hiyo niliyoeleza hapo
Kwa case hiyo kama data ni dynamic jaribu kutumia VBA au kama una version mpya ya excel unaweza kutumia dynamic array formulas, otherwise unaweza kuweka kwenye pivot table lkn itabidi ukiadd data then refresh pivot table yako, alternatively, unaweza kutumia trick kwa kuzi rank kwanza, tumia rank.eq function thn tumia vlookup kupanga hao wanafunzi kulingana na rankYaan unataka ukiwa una-input data, Excel inazi-process hapo hapo??
Mkuu ni wapi nimeandika sheet A??Ungekuwa unajua maana ya sheet usingeandika hiki ulicho kiandika. Jamaa amekufafanulia vizuri.
Eti sheet A nimeweka......, sheet B nimeweka ..........., sheet..... unajua unachokifanya????????? Au excel imebadilika???????
An Excel worksheet is a software program/document that collects rows and columns designed to store information in an organized manner.
Hivi ukitaka jua jinsi Me wangapi wamefanya mtihani utatumia formula gani mfano A nimeweka jinsi na B nimeweka marksNikupe template yangu?
Nakutumia namba DM tuwasilianeHivi ukitaka jua jinsi Me wangapi wamefanya mtihani utatumia formula gani mfano A nimeweka jinsi na B nimeweka marks
Sawa,naiombaNikupe template yangu?
Caution kama atatumia lookup kwa kuangalia rank, ikiwa kuna wanafunzi wamelingana rank itashinwa kuwavuta wote kwenye hiyo sheetKwa case hiyo kama data ni dynamic jaribu kutumia VBA au kama una version mpya ya excel unaweza kutumia dynamic array formulas, otherwise unaweza kuweka kwenye pivot table lkn itabidi ukiadd data then refresh pivot table yako, alternatively, unaweza kutumia trick kwa kuzi rank kwanza, tumia rank.eq function thn tumia vlookup kupanga hao wanafunzi kulingana na rank
Wakilingana anachukuliwa wa kwanza, ili wasilingane ile rank value inabidi uiongezee na SN/1000 au SN/10000 ili kuipa decimal points. Mfano kama mtu wa SN 10 na wa SN 100 wana wastani wa 100, huyu wa SN 10 atakuwa na 100+10/1000=100.001 na huyu wa SN 100 atakuwa na 100+100/1000=100.1Caution kama atatumia lookup kwa kuangalia rank, ikiwa kuna wanafunzi wamelingana rank itashinwa kuwavuta wote kwenye hiyo sheet
Mkuu naomba uni PM hiyo template yako. Msaada tafadhali.Nikupe template yangu?
NImejifunza kitu kipya, shukran sana mkuuWakilingana anachukuliwa wa kwanza, ili wasilingane ile rank value inabidi uiongezee na SN/1000 au SN/10000 ili kuipa decimal points. Mfano kama mtu wa SN 10 na wa SN 100 wana wastani wa 100, huyu wa SN 10 atakuwa na 100+10/1000=100.001 na huyu wa SN 100 atakuwa na 100+100/1000=100.1
Mtaalamu. Nakukubali sana.Wakilingana anachukuliwa wa kwanza, ili wasilingane ile rank value inabidi uiongezee na SN/1000 au SN/10000 ili kuipa decimal points. Mfano kama mtu wa SN 10 na wa SN 100 wana wastani wa 100, huyu wa SN 10 atakuwa na 100+10/1000=100.001 na huyu wa SN 100 atakuwa na 100+100/1000=100.1