Msaada wa drivers please!!

Mzee Dogo

JF-Expert Member
Nov 13, 2010
396
138
Ndugu wanajf, nina printer za ofisi ambazo ni hp laserjet 1280 na hp deskjet 4350
nilimpa jamaa mmoja kazi ya kuweka program fulani katika pc za ofisi cha ajabu aliformat zile computer na driver za hizi printer sijui hata historia yake coz ni mgeni kiasi kwa ofisi ile na naona sipati jibu la kuridhisha na upande wangu sa kazi zinalala, mwenye uwezo wa kufanya msaada please make it now..
Thanx in advance
 

Inkoskaz

JF-Expert Member
Nov 6, 2010
6,359
2,329
Just google hp support na utapata drivers zake hapo..labda tu kama huna high speed connection ndio itakusumbua kudownload
 

Mzee Dogo

JF-Expert Member
Nov 13, 2010
396
138
Just google hp support na utapata drivers zake hapo..labda tu kama huna high speed connection ndio itakusumbua kudownload

Nashukuru mjomba but nimejaribu mara kadhaa bila mafanikio, kila naiki-download nikitaka kuinstall inagomea njiani..
 

Zasasule

JF-Expert Member
Aug 12, 2009
1,002
103
FOR
s.gif
<table width="560" border="0" cellpadding="0" cellspacing="0"> <tbody> <tr class="decoration"> <td bgcolor="#cccccc">
s.gif
</td> </tr> </tbody> </table> HP Deskjet 1280 Printer series
select operating system unayotumia.pia ucheck kama ni 64bit au 32bit.then download the drivers.
click hapa.
http://h20000.www2.hp.com/bizsupport/TechSupport/DriverDownload.jsp?prodNameId=439174&#9001;=en&cc=us&prodTypeId=18972&prodSeriesId=439162&taskId=135


for

HP LaserJet 4350 Printer series

select operating system unayotumia.pia ucheck kama ni 64bit au 32bit.then download the drivers.
click hapa
HP LaserJet 4350 Printer series -  Download drivers and software - HP Business Support Center

hope nimekusaidia
 

Livanga

JF-Expert Member
Apr 15, 2010
469
147
Please kama kuna post ambayo imeshakusaidia useme ili wengine tusisumbukie ishu ambayo imeshafungwa tusaidie wengine
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

0 Reactions
Reply
Top Bottom