Mzee Dogo
JF-Expert Member
- Nov 13, 2010
- 400
- 140
Ndugu wanajf, nina printer za ofisi ambazo ni hp laserjet 1280 na hp deskjet 4350
nilimpa jamaa mmoja kazi ya kuweka program fulani katika pc za ofisi cha ajabu aliformat zile computer na driver za hizi printer sijui hata historia yake coz ni mgeni kiasi kwa ofisi ile na naona sipati jibu la kuridhisha na upande wangu sa kazi zinalala, mwenye uwezo wa kufanya msaada please make it now..
Thanx in advance