msaada wa dharura | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

msaada wa dharura

Discussion in 'Nafasi za Kazi na Tenda' started by Jasnira, Apr 27, 2012.

 1. Jasnira

  Jasnira JF-Expert Member

  #1
  Apr 27, 2012
  Joined: Jul 20, 2011
  Messages: 611
  Likes Received: 264
  Trophy Points: 80
  Naomba msaada wa jinsi ya kuandika cover letter kwenye post iliyowekwa bila official address. kuna post kesho ni deadline nahitaji kutuma usiku huu.
   
 2. Jasnira

  Jasnira JF-Expert Member

  #2
  Apr 27, 2012
  Joined: Jul 20, 2011
  Messages: 611
  Likes Received: 264
  Trophy Points: 80
  NISAIDIENI WANDUGU, hasa zile kazi zinazotangazwa zoom huwa hawaweki anuani huku ukitakiwa kuandika cover letter
   
 3. SYENDEKE

  SYENDEKE Senior Member

  #3
  Apr 27, 2012
  Joined: Jul 18, 2011
  Messages: 163
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  kwa jinsi ninavyo jua mimi unatakiwa kuandika hivyo hivyo without official adress coz ndo tangazo lilivyo and not more than that mfano unaweza ukaandika antetion kwa hr ukajua ndo anahusika na recruitment kumbe sivyo that is my opnion
   
Loading...