Msaada wa dharura-link ya kudownload free VPN

Wakuu nipo sehemu sina access ya playstore,,nina shida sana na vpn,,mnoo nisaidieni kuna vitu vya muhimu nataka kuvipata whatsapp,,nimeweka ya kununua lakini imefanya kazi nikiwa dukani ,haikubali tena,,nisaidieni pls pls
Shukrani

WEKA HIZO MKUU ILI UWEZE KUPATA ACCESS YA KUDOWNLOAD HIZO APK ZA VPN THROUGH DIRECT SERVER THEN UR FREE TO GO ..................ZIKIGOMA NIAMBIE NIKUTUMIE NYINGINE.

upload_2018-1-1_23-43-23.png
 
Wakuu nipo sehemu sina access ya playstore,,nina shida sana na vpn,,mnoo nisaidieni kuna vitu vya muhimu nataka kuvipata whatsapp,,nimeweka ya kununua lakini imefanya kazi nikiwa dukani ,haikubali tena,,nisaidieni pls pls
Shukrani
Chuku hii CyberGhost hatari tupu
 
Back
Top Bottom