bishankara
Senior Member
- Feb 21, 2012
- 140
- 8
Ni decorder gani kati za ting, zuku, digitek, continental, star times na easy tv ambayo ni nzuri sana yenye channel za kuonyesha mpira hasa ligi ya uingereza. Na pia naomba price za kila moja na channel zake na malipo yake kwa mwezi. Nataka kununua decorder lakini sina uelewa wowote juu ya ipi nzuri na ambayo naweza kununua kwa bei reasonable na yenye malipo yanayolipika.