Sasa akizaa utamuhudumia huyo mtoto, unajua financial status ya mtoa mada, au unajua sababu ya msingi kwanini wanataka kuitoa, unajuaje kama huyo binti ni mwanafunzi au familia yao watalichukuliaje hilo jambo au unadhani walivyo chukua hayo maamuzi wenyewe hawana akili.
Kama imetokea bahati mbaya na mtoa mada alikuwa hajajipanga sio sababu ya kuleta kiumbe kikateseka bure, kuongeza idadi ya watoto wa mitahani