Msaada wa dawa inayoitwa Trevo

Msaada wa dawa inayoitwa Trevo

NGERESHAA

JF-Expert Member
Joined
Mar 26, 2017
Posts
1,299
Reaction score
1,809
Shukrani nyingi kwa wana JF, kwa kuwa msaada katika nyanja mbalimbali.

Kama kichwa cha habari hapo juu kinavyo eleza, naomba msaada namna ya kupata dawa inayoitwa TREVO.

Nina mgonjwa tumeona unaweza msaidia, mimi nipo TDM boda hivyo kama kuna mtu anaishi mbeya analijua duka au mawasiliano naomba.

Niliwahi ingia semina zao na kutumia vipeperushi vyao pamoja na no ya SIMU yao kumsaidia mgonjwa ila sasa nimevipoteza.

Ahsante ni matumaini yangu kuwa nitasaidiwa
 
Ha ha ha imebidi nicheke

hawa jamaa ni matapel kweli, kuna ndg yangu anaumwa sukari nikawatafuta tukanunua hayo majuisi yao. Aisee alivyokunywa sukari ikapanda hadi 20 kutoka 12 alafu yanapigiwa cm hayapokei tena baada ya kula hela
 
Sa mtu ana sukari afu tena wanampa hizo juice, sijui juice sijui dawa
Poleni.
 
Hii Trevo ni dawa au juice?
Kwa walioitumia watupe uzoefu.
 
Back
Top Bottom