What makes u think CV ndo ina tatizo? Maybe barua/cover letter ndo ina shida .. Grammar, sifa unazosema unazo ni too perfect to be true, kilichopo kwenye letter haki match na CV.. Mambo kama hayo
Huwa una apply on timeAisee kila kitu kipo sawa nakinafanana mkuu sijui tatzo nini
Nmeiona Mkuu.. Naomba nitumie cv yako pm.. Au hata hapa Kama hutojali.. Niweze kukupa mrejesho..Hiyo apo mkuu naomba marekebisho hapo
Mkuu mi nadhani structure ya cover letter haipo sawa, umejaribu kuonyesha tu kwa nini kampuni ikiuajili na haujaonyesha skills zako zimesaidia nini na wapi(mifano uliyofanikisha kutumia hizo skills ulizo nazo).
Mi nafikiri jaribu kufuata structure hii
1st paragraph: Onyesha nafasi ya kazi unayoomba na sehemu ulipopata tangazo na sababu za kutaka kufanya kazi na hiyo kampuni.
2nd paragraph: Onyesha skills(angalau tatu) na wapi ulipozitumia na kitu ulichofanikiwa kukitimiza kutumia hizo skills zako.
3rd paragraph: Onyesha kwamba upo tayari kwa interview na muda ambao unaweza kupatikana.
Mkuu what if mtu ni fresh from school...hiki kipengele cha experience daahMkuu mi nadhani structure ya cover letter haipo sawa, umejaribu kuonyesha tu kwa nini kampuni ikiuajili na haujaonyesha skills zako zimesaidia nini na wapi(mifano uliyofanikisha kutumia hizo skills ulizo nazo).
Mi nafikiri jaribu kufuata structure hii
1st paragraph: Onyesha nafasi ya kazi unayoomba na sehemu ulipopata tangazo na sababu za kutaka kufanya kazi na hiyo kampuni.
2nd paragraph: Onyesha skills(angalau tatu) na wapi ulipozitumia na kitu ulichofanikiwa kukitimiza kutumia hizo skills zako.
3rd paragraph: Onyesha kwamba upo tayari kwa interview na muda ambao unaweza kupatikana.
Mkuu si umefanya fields, projects chuoni hakuna ulichofanikisha kiasi ukaleta utofauti, ww fikiria hata kile kidogo ulichofanikiwa ila tu kiwe kinaendana na job descriptions.Mkuu what if mtu ni fresh from school...hiki kipengele cha experience daah
Mkuu nawezaje kupata mawasiliano yako Mimi nimetaka niku Pm lakini nashindwa nilitaka niombe msaada baadhi ya maeneo kwenye Cv...Mkuu mi nadhani structure ya cover letter haipo sawa, umejaribu kuonyesha tu kwa nini kampuni ikiuajili na haujaonyesha skills zako zimesaidia nini na wapi(mifano uliyofanikisha kutumia hizo skills ulizo nazo).
Mi nafikiri jaribu kufuata structure hii
1st paragraph: Onyesha nafasi ya kazi unayoomba na sehemu ulipopata tangazo na sababu za kutaka kufanya kazi na hiyo kampuni.
2nd paragraph: Onyesha skills(angalau tatu) na wapi ulipozitumia na kitu ulichofanikiwa kukitimiza kutumia hizo skills zako.
3rd paragraph: Onyesha kwamba upo tayari kwa interview na muda ambao unaweza kupatikana.
Ya kaziOntime kabisa mkuu npo very active na matangazo takazi nadhani huwa nakua wakwanza au wapili kuaply mala baada ya tangazo kutoka mkuu, nawaza nashindwa kupata jibu