Msaada wa Court brokers

DIFFENDA

Member
Jun 23, 2013
70
13
Habari wanna jf, tafadhali ninaomba msaada wa anayefahamu taratibu za kufungua ofisi za court brokers. Nipo interested kufungua hizo ofisi kutokana na changamoto nilizoziona mkoani kwangu. Mahakama inapotaka kuuza Mali za wadaiwa wanaagiza broker mkoa jirani. Mwenye mawazo au ushauri naomba tuwasiliane
 
0 Reactions
Reply
Top Bottom