Naomba kujua taratibu za kuwa Dalali wa Mahakama

DIFFENDA

Member
Jun 23, 2013
68
12
Habari wanna jf,

Tafadhali ninaomba msaada wa anayefahamu taratibu za kufungua ofisi za court brokers. Nipo interested kufungua hizo ofisi kutokana na changamoto nilizoziona mkoani kwangu.

Mahakama inapotaka kuuza Mali za wadaiwa wanaagiza broker mkoa jira. Mwenye mawazo au ushauri naomba tuwasiliane ama yeyote aliyewahi kufanya hi kazi naomba tuwasiliane 0719113012.
 
Matola

JF-Expert Member
Oct 18, 2010
48,393
64,804
Habari wanna jf,

Tafadhali ninaomba msaada wa anayefahamu taratibu za kufungua ofisi za court brokers. Nipo interested kufungua hizo ofisi kutokana na changamoto nilizoziona mkoani kwangu.

Mahakama inapotaka kuuza Mali za wadaiwa wanaagiza broker mkoa jira. Mwenye mawazo au ushauri naomba tuwasiliane ama yeyote aliyewahi kufanya hi kazi naomba tuwasiliane 0719113012.
Mambo yote yanaanzia Brela na Memmart au memorandum anayekuandalia anaingiza humo moja ya kazi za kampuni ni kuwa court broker.

Mengine utapaswa kuomba na Leseni baada ya kusajili kampuni, process ni zilezile tu, make sure una kamilioni Fulani hivi ka kupush documentation na kumlipa mwanasheria wa kuandaa memorandum.
 
WANGAMBA

Member
Jul 21, 2022
54
59
Hii kazi ya laana sana kwenda kuitoa familia ya mtu ndani bila huruma ili wewe upate ridhiki machozi ya mama baba mtu mzima anakulilia kama mtoto ni hatari mkuu tafuta wazo jingine sio apo ulipo hawajiliona hilo
 
0 Reactions
Reply
Top Bottom