MSAADA WA COURSE KATIKA VYUO VYA UDSM NA UDOM

Dogo div 2 ya 10 MD MUHAS unapoteza muda hua wanachukua 1

Ila MD udom,bugando kcmc,st fransis unaweza pata

pia chukua koz za Nesirng ata MUHAS wanakuchukua

div 2 nikubwa sana afya wanakuchukua kasoro MD muhas

Kuchukua foodscience kwa sua bora uchukue BVM inadili kubwa

tandika koz za afya na BVM SUA wanakuchukua

Ualimu kwa div 2 ya 10 PCB usijishushe sana,,2 ya 10 PCB nikubwa mno nauchunakuliwa tu,ila pale MUHAS MD usipoteze mda
MUHAS CJA APPLY MD NIMEAPLLY MEDICAL LABOL TU
 
Dogo div 2 ya 10 MD MUHAS unapoteza muda hua wanachukua 1

Ila MD udom,bugando kcmc,st fransis unaweza pata

pia chukua koz za Nesirng ata MUHAS wanakuchukua

div 2 nikubwa sana afya wanakuchukua kasoro MD muhas

Kuchukua foodscience kwa sua bora uchukue BVM inadili kubwa

tandika koz za afya na BVM SUA wanakuchukua

Ualimu kwa div 2 ya 10 PCB usijishushe sana,,2 ya 10 PCB nikubwa mno nauchunakuliwa tu,ila pale MUHAS MD usipoteze mda
Acha kumdanganya mwenzako, kwa ufaulu wake hawezi kupata MD chuo chochote cha umma. UDOM mwaka Jana hakuna div 2 aliyechukuliwa MD, mwaka huu Na PCB walivyofaulu hivyo ndiyo atapata?

Kama lengo ni kusoma MD jaribu KAIRUKI,IMTU,KIU,CUHAS etc
 
Two ya kumi ni ngumu kupata chuo cha umma
Ebu ajaribu. CUHAS KCMC na kwingineko sio serikalini

nilipataga 1 ya 9 lakini sikupata chuo cha government chchte
 
Acha kumdanganya mwenzako, kwa ufaulu wake hawezi kupata MD chuo chochote cha umma. UDOM mwaka Jana hakuna div 2 aliyechukuliwa MD, mwaka huu Na PCB walivyofaulu hivyo ndiyo atapata?

Kama lengo ni kusoma MD jaribu KAIRUKI,IMTU,KIU,CUHAS etc

Labda sikuhiz,miaka ya nyuma kunajamaangu alichukuliwa na div 3 ya 13 UDOM
 
vipi kuhusu Bsc. in General???
nakushaur kitu mkuu...hebu tafuta prospectus ya udsm....pitia hyo kozi IPO Conas...ukimaliza pitia matawi yake...

utapata kitu cha kuanzia maana kuna watu wanasoma bsc.general (chem&bios)...

.sasa si ni bora umesoma bsc with education.... Ukawa mwalimu kuliko kuhangaika na hivyo vitu....
 
ushauri mzuri hio course ya Science general si course nzuri coz haieleweki utamaliza na kujikuta haufit popote
 
nakushaur kitu mkuu...hebu tafuta prospectus ya udsm....pitia hyo kozi IPO Conas...ukimaliza pitia matawi yake...

utapata kitu cha kuanzia maana kuna watu wanasoma bsc.general (chem&bios)...

.sasa si ni bora umesoma bsc with education.... Ukawa mwalimu kuliko kuhangaika na hivyo vitu....
ahsante sana kiongozi
kwakweli nimejaribu kupitia iyo kitu hadi nimechoka.
haieleweki
 
Back
Top Bottom