Mfagio
JF-Expert Member
- May 13, 2014
- 647
- 682
- Thread starter
- #21
Asante kwa wazo nalifanyia kaziUnatafuta nafasi ya kazi unatarajia boss akupe email yake ili umtumie project? Kwa nini graduate mnakuwa wazembe kufikiri hivi?
Haya unadhani mtu aliyeweka link za project zake public na wewe unayesubiri wakupe email uzitume nani atapata nafasi? Acha uzembe, kuwa serious angalau kidogo basi. Otherwise utakaa home miaka na miaka. Dunia imebadilika!