Msaada wa connection za kazi za ICT

Mfagio

JF-Expert Member
May 13, 2014
430
500
Mimi ni kijana wa 25 mkazi wa mbeya mjini .nimemaliza chuo kwa levels ya degree nimesoma ICT katika iyo field niko vizuri kwenye database ususani katika oracle na mysql katika kufanya designing (ERD) na Database administration.

Kwenye programming language ni java, java scripts, php na python. Html na css for Web development na mwisho niko ni networking katika IP na addressing lan and vlan configuration.

Samahani kwa kuandika haraka natanguliza shukurani.

Namba ya simu 0759211359
 
EllySkyWilly

JF-Expert Member
Aug 28, 2020
2,176
2,000

Kwanini usijiajiri mwenyewe utumie ujuzi wako wa computer mkuu.
 
Ultimate

JF-Expert Member
Nov 29, 2016
519
1,000
Mimi ni kijana wa 25 mkazi wa mbeya mjini .nimemaliza chuo kwa levels ya degree nimesoma ICT katika iyo field niko vizuri kwenye database ususani katika oracle na mysql katika kufanya designing (ERD) na Database administration.

Kwenye programming language ni java, java scripts, php na python. Html na css for Web development na mwisho niko ni networking katika IP na addressing lan and vlan configuration.

Samahani kwa kuandika haraka natanguliza shukurani.

Namba ya simu 0759211359
 
JUAN MANUEL

JF-Expert Member
Nov 26, 2010
3,088
2,000
Unaweza kutengeneza hizi simu janja,laptops? Kuna vijana wanafanya designing ya Incubator/mashine za kutotolea vifaranga,kwa kutumia mifumo ya microelectronics/integrated circuits,mashine zinakuwa full automatic,
Ujuzi huu unao?
 
Mfagio

JF-Expert Member
May 13, 2014
430
500
Njia bora ya kuuza ujuzi ni kuweka project umewahi fanya, preferably open source ambazo mtu anaweza kuona. Siku hizi wenye "digrii za ICT" wamejaa. So degree sio diferentiator any longer!
Napenda sana kufanya project tena niko vizuri hata kwenye system analysis kwanzia kwenye planning, analysis, designing and implementation saiz naitaji nipate experience kufanya kazi na team kubwa project za kufanya as solo developer zinakuwa za kawaida sana.
 
Mfagio

JF-Expert Member
May 13, 2014
430
500
Unaweza kutengeneza hizi simu janja,laptops? Kuna vijana wanafanya designing ya Incubator/mashine za kutotolea vifaranga,kwa kutumia mifumo ya microelectronics/integrated circuits,mashine zinakuwa full automatic,
Ujuzi huu unao?
Kwa kweli sijaiwai kifanya izo project ila kwa uelewa wangu najua naweza kumaseter iyo kazi haraka sana na nikafanya mambo makubwa sana
 
Upepo wa Pesa

JF-Expert Member
Aug 8, 2015
16,522
2,000
Napenda sana kufanya project tena niko vizuri hata kwenye system analysis kwanzia kwenye planning ,analysis ,designing and implementation saiz naitaji nipate experience kufanya kazi na team kubwa project za kufanya as solo developer zinakuwa za kawaida sana
Jamaa kasema uweke project ulizo wahi kufanya, hata kama haziko hosted somewhere unaweza weka link ya github!!

Lakini je una account ya github?
 
Ollachuga Oc

JF-Expert Member
Jul 4, 2016
15,135
2,000
Napenda sana kufanya project tena niko vizuri hata kwenye system analysis kwanzia kwenye planning, analysis, designing and implementation saiz naitaji nipate experience kufanya kazi na team kubwa project za kufanya as solo developer zinakuwa za kawaida sana.
Fanya YouTube awe mwalimu wako, utajifunza vyingi.

Sent from my SM-A305F using JamiiForums mobile app
 
C Programming

JF-Expert Member
Nov 11, 2011
3,011
2,000
Kwa kweli sijaiwai kifanya izo project ila kwa uelewa wangu najua naweza kumaseter iyo kazi haraka sana na nikafanya mambo makubwa sana

Daaa mwanangu hivi kweli umesoma IT mbona kama haupo serious ?????

Umeambiwa weka PROJECT ZAKO ZA IT ambazo umeshafanya au tuoneshe aina project ambayo umeifanyaaa
 
Mfagio

JF-Expert Member
May 13, 2014
430
500
Daaa mwanangu ivi kweli umesoma IT mbona kama haupo serious ?????

Umeambiwa weka PROJECT ZAKO ZA IT ambazo umeshafanya au tuoneshe aina project ambayo umeifanyaaa
Kwa kweli nilikuwa sina project ila niliiamua kuingia jikon tayar nishaandaa project yangu ambayo iko tayari kwa matumizi kwa mtu yoyote aliye tayari kuiona anaweza nitumia email yake iliaweze kuiona iyo project. Pia kwenye iyo project sijatumia library yoyote code zimepigwa moja kwa moja
 
Mfagio

JF-Expert Member
May 13, 2014
430
500
Nashukuru sana kwa ushauri wenu ususani kwa ushauri wa kuandaa project zangu kwa kweli umenipelekea mimi kuanza project zangu na kurud kujifunza tena
 
Stefano Mtangoo

Verified Member
Oct 25, 2012
4,831
2,000
Kwa kweli nilikuwa sina project ila niliiamua kuingia jikon tayar nishaandaa project yangu ambayo iko tayari kwa matumizi kwa mtu yoyote aliye tayari kuiona anaweza nitumia email yake iliaweze kuiona iyo project. Pia kwenye iyo project sijatumia library yoyote code zimepigwa moja kwa moja
Unatafuta nafasi ya kazi unatarajia boss akupe email yake ili umtumie project? Kwa nini graduate mnakuwa wazembe kufikiri hivi?
Haya unadhani mtu aliyeweka link za project zake public na wewe unayesubiri wakupe email uzitume nani atapata nafasi? Acha uzembe, kuwa serious angalau kidogo basi. Otherwise utakaa home miaka na miaka. Dunia imebadilika!
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom