Msaada wa connection tafadhali

ciyou

Senior Member
Feb 6, 2023
125
191
Habari wakuu ,

Kama kichwa cha habar kinavyosema ndugu yenu naomba connection ya kazi

Nimekua nikizunguka kwa muda mrefu kutafta kazi hapa dar es salaam bila ya mafanikio

Nimetuma Cv kila kwenye kituo cha afya hapa mjini ila sjawahi kupigiwa simu hata sehemu moja

Elimu yangu ni diploma ya medical lab

Nilifanya kazi health centre moja ila ikawa na mgogoro na mwenye jengo mwisho wa siku wafanya kazi tukapunguzwa

Ni kwa miezi kadhaa sasa nipo tu nyumbani bila kitu cha kujishughulisha najua mnaelewa ni jinsi gani inakua stressful hii hali

Najua humu mna kila aina ya watu ma officers, wamiliki wa hospital, wamiliki wa vituo vya afya wamiliki wa maduka ya vifaa tiba etc hizo ni sehemu ambazo naweza kufanya kazi

Ila hata ikitokea kazi nje ya ujuzi wangu nipo tayar kufanya ilimradi tu nipate kitu cha kujishughulisha

Kama yote yameshindikana hata nafasi ya kujitolea najua huko nitapata connection zaid

Ahsanteni wakuu ,natanguliza shukrani
 
Nyie madogo jau sana mtu unaomba kazi hata kujielezea vizuri shida yaani umri wako umemaliza chuo mwaka gani umefanya kazi wapi na wapi basi hata namba ya simu hujaweka hili taifa kweli linahitaji report ya CAG kila mwaka.
 
yeye ni mtaalam kwenye field yake kuanza kumsema kuwa hawezi kujieleza unamkosea, the way alivojieleza inaeleweka anataka kazi, ina maana hapa tuanze kukucheka wewe kuwa hujui kupima aina fulani ya ugonjwa
 
Jichanganye maeneo Mkuu hata majukwaa ya humu changia ujuzi wako mbona utapata connection kirahisi kabisa.

Njia rahisi ya kutengeneza connection ni wewe kuwa interested na watu, then hao watu ndio wataanza kukufikiria pia.

Kuna mchango wa member mmoja hapo juu, wa jieleze vizuri ufanyie kazi Mkuu.

kila la kheri
 
Asnte kwa ushauri
 
Habari wakuu ,

Kama kichwa cha habar kinavyosema ndugu yenu naomba connection ya kazi

Nimekua nikizunguka kwa muda mrefu kutafta kazi hapa dar es salaam bila ya mafanikio

Nimetuma Cv kila kwenye kituo cha afya hapa mjini ila sjawahi kupigiwa simu hata sehemu moja

Elimu yangu ni diploma ya medical lab

Nilifanya kazi health centre moja ila ikawa na mgogoro na mwenye jengo mwisho wa siku wafanya kazi tukapunguzwa

Ni kwa miezi kadhaa sasa nipo tu nyumbani bila kitu cha kujishughulisha najua mnaelewa ni jinsi gani inakua stressful hii hali

Najua humu mna kila aina ya watu ma officers, wamiliki wa hospital, wamiliki wa vituo vya afya wamiliki wa maduka ya vifaa tiba etc hizo ni sehemu ambazo naweza kufanya kazi

Ila hata ikitokea kazi nje ya ujuzi wangu nipo tayar kufanya ilimradi tu nipate kitu cha kujishughulisha

Kama yote yameshindikana hata nafasi ya kujitolea najua huko nitapata connection zaid

Ahsanteni wakuu ,natanguliza shukrani
Una Leseni?
 
Back
Top Bottom