josephmasamaki
Senior Member
- Apr 27, 2011
- 163
- 84
Habari za jioni ya leo...
Naombeni msaada wa kujua majina ya maduka ya Computer (Laptop) jijini Dar es salaam ambayo yana bei cheap (up to 600,000 TShs) kwa laptop mpya.
Asanteni.