Habari watanzania kwa Majina naitwa jenipha lameck nimemaliza degree ya Bachelor of commerce in accounting Kafika chuo kikuyu cha Dar es salaam nauhitaji wa kazi ya uhasibu au kazi yoyote ambayo inaendana na course nilisomea kwasasa nakaa jijini dar es salaam Tanzania nguvu moja kwa Mawasiliano zaidi 0713776534
KAZI YA ACCOUNTANT (MHASIBU) - MDADA NAFASI 1
LOCATION - MOROGORO
A. QUALIFICATIONS
✓ Awe na Elimu kuanzia Diploma ya Uhasibu (Accountancy)
✓ Awe anajua kusoma na kuandika kwa lugha ya Kingereza
✓ Awe anajua Mfumo wa TRA kwenye kuandaa RETURN na kujaza Monthly taxes: PAYE, SDL, e.t.c
✓ Awe anajua Mfumo wa TRA kwenye kuandaa REPORT na Income tax.
✓ Awe na uelewa kuhusu (VAT, Income Tax, PAYE, or Withholding Tax )
B. AWE TAYARI KUFANYA KAZI ZINGINE ZA KILA SIKU ZA STATIONERY
✓ Awe alishawahi kufanya APPLICATION ZA PASSPORT ya KUSAFIRIA mtandaoni.
✓ Awe alishawahi kufanya application za HESLB mtandaoni na application za RITA mtandaoni.
✓ Awe alishawahi kufanya application za AJIRA PORTAL mtandaoni.
✓ Awe alishawahi kufanya application za TIN NUMBER.
✓ Awe anafhamu Online application zingine za mtandaoni angalau 4 tofauti na hizo hapo juu.
✓ Awe anafahamu vizuri Microsoft Word
✓ Awe anafahamu Email na matumizi yake
✓ Awe anafahamu Microsoft Excel
✓ Awe anafahamu graphics design (kudizaini cards, poster, n.k)
C. TAARIFA ZA KUTUMA
✓ Passport size Moja
✓ CV
✓ Kitambulisho
MAOMBI YATUMWE KUPITIA WHATSAPP NA EMAIL ZIFUATAZO:-
WhatsApp: 0655 118 731
Email:
ajira.maombi.information@gmail.com
Mwisho wa kutuma maombi ni tarehe 30/11/2026