Mahali Sahihi kabisa pa kuulizaKaulizie DIT
Ngoja niwaulizieMpeleke UCC
Nina kijana anataka akimaliza form 4 while waiting results apate short course training ya computer. Shule /chuo gani kinaweza provide such training in Dar Es Salaam preferable gov one.
Sehemu sahihi kabisa, nina mpango wa kumpeleka mdogo wangu akimaliza form 4Kaulizie DIT
asante. Nitakwenda kuulizia.upo dar sehemu gani mkuu. tafta kwenye vyuo vya makanisa ya Rc kama pale Don Bosco au st . gasper wapo vizur sana . Ucc story nyingi
Muda ni mrefu anaweza akawa pale gaining something rather than staying at home, and preparations have to start now!Sehemu sahihi kabisa, nina mpango wa kumpeleka mdogo wangu akimaliza form 4