waungwana hebu nipeni ushauri wenu wapi niende au nini nifanye jinsi ya kuchange wapsite yangu ya wapka.mobi na kuwa domain ya .com au vipi naweza kupata site ya .com
Mtafute au mu-PM @C6, atakusaidia ndani ya masaa 24 kazi yako kwisha, ningekupa namba yake ila natumaini atakuja
Mtu kazini... lol .. Big uphahaha nshafika kaka
hahahah nimeipenda signature yakoMtu kazini... lol .. Big up
huyu jamaa possible hata name server, kupark domain hajui. darasa linatakiwa lianzie mbali
hahaha.... thnx.. ila inamuda sanaaaaa.... inaenda ku expire sasa hii signaturehahahah nimeipenda signature yako