Fursakibao
JF-Expert Member
- Dec 12, 2017
- 6,996
- 11,886
Kama hujui Triple B basi we utakuwa na kamba mguuni.Sawa
Goba ipi?
Kama hujui Triple B basi we utakuwa na kamba mguuni.Sawa
Goba ipi?
Walikuwa wanajipanga sana hapo lastanza pub Sasa baada ya kuvunjwa sijui wamehamia wapi. Kuna boda boda ukifika hapo ilipokuwa lastanza pub waulize watakuelekeza maana watakuwa wanajua.