Ndugu jibu lako ni zuri mno ila paragraph ya mwisho kidogo umeharibu...Labda ungetaja mkoa lilipotokea hilo tukio.
Kwa uelewa wangu mdogo moto unahitaji vitu hivi:
1. nishati (fuel) iwepo kama vile mafuta, kuni, mkaa, umeme n.k
2. Uwepo wa hewa ya oksijeni (oxidizing agent simply Oxygen gas ) hii ndio hewa inayo support combustion (kuungua kwa kitu).
3. Activation energy au heat (nguvu ya kuanzisha moto au niseme joto ili kuunguza ile nishati niliyotaja mwanzo).
Sasa kwa tafakuri ya kivivu kabisa majani yaliyoezeka nyumba hayawezi kushika moto bila mtu kuanzisha moto hapo maana sote tunafaham majani hayana Auto ignition property kama vile jiko la gesi, naanza kufikiria hiyo ajali imetokea mkoa gani
😂😂😂😂😂Nikajaribu kufkiria chemistry ya moto in relation to majani makavu. Nikashindwa kupata connection
Hakuna nilichoharibu, usinilaumu kwakua hujanielewa.Ndugu jibu lako ni zuri mno ila paragraph ya mwisho kidogo umeharibu...
Kwa kifupi joto, likizidi sana moto hutokea hivyo moto ni msuguano endelevu ambao unategemea uwiano sawa hewa na kiunguacho...inawezekana hicho kijumba kina mrundikano wa vitu...ndani kuna hewa nzito yani joto kali kupita kiasi...tuashum kuwa wanapikia ndani.
Hapo moto utawaka tu. Bila kuwashwa na chanzo kikiwa ni joto kupita kiasi.
Soma kuanzia hapo kwenye nyota uliposema majani hayawezi kushika moto...kumbuka kuna jua...ndani watu wana pika...hapo joto linaweza kusababisa msuguano na O² kidogo tu motu unalipuka...hujawahi ona kwenye rundo la mataka taka kila siku kunafuka moshiLabda ungetaja mkoa lilipotokea hilo tukio.
Kwa uelewa wangu mdogo moto unahitaji vitu hivi:
1. nishati (fuel) iwepo kama vile mafuta, kuni, mkaa, umeme n.k
2. Uwepo wa hewa ya oksijeni (oxidizing agent simply Oxygen gas ) hii ndio hewa inayo support combustion (kuungua kwa kitu).
3. Activation energy au heat (nguvu ya kuanzisha moto au niseme joto ili kuunguza ile nishati niliyotaja mwanzo).
*-Sasa kwa tafakuri ya kivivu kabisa majani yaliyoezeka nyumba hayawezi kushika moto bila mtu kuanzisha moto hapo maana sote tunafaham majani hayana Auto ignition property kama vile jiko la gesi, naanza kufikiria hiyo ajali imetokea mkoa gani-*
Nimekuelewa bossSoma kuanzia hapo kwenye nyota uliposema majani hayawezi kushika moto...kumbuka kuna jua...ndani watu wana pika...hapo joto linaweza kusababisa msuguano na O² kidogo tu motu unalipuka...hujawahi ona kwenye rundo la mataka taka kila siku kunafuka moshi
Labda ungetaja mkoa lilipotokea hilo tukio.
Kwa uelewa wangu mdogo moto unahitaji vitu hivi:
1. nishati (fuel) iwepo kama vile mafuta, kuni, mkaa, umeme n.k
2. Uwepo wa hewa ya oksijeni (oxidizing agent simply Oxygen gas ) hii ndio hewa inayo support combustion (kuungua kwa kitu).
3. Activation energy au heat (nguvu ya kuanzisha moto au niseme joto ili kuunguza ile nishati niliyotaja mwanzo).
Sasa kwa tafakuri ya kivivu kabisa majani yaliyoezeka nyumba hayawezi kushika moto bila mtu kuanzisha moto hapo maana sote tunafaham majani hayana Auto ignition property kama vile jiko la gesi, naanza kufikiria hiyo ajali imetokea mkoa gani
Imetokea Tanga mjini just now and it is continuing. Wamekaa wanaona moto unazuka! Nimejaribu ku google vitu kama auto ignition of dry leaves, bado kama ulivyosema vinahitaji temperature iwe juu sana. sasa pale hakuna kitu kama hicho!Labda ungetaja mkoa lilipotokea hilo tukio.
Kwa uelewa wangu mdogo moto unahitaji vitu hivi:
1. nishati (fuel) iwepo kama vile mafuta, kuni, mkaa, umeme n.k
2. Uwepo wa hewa ya oksijeni (oxidizing agent simply Oxygen gas ) hii ndio hewa inayo support combustion (kuungua kwa kitu).
3. Activation energy au heat (nguvu ya kuanzisha moto au niseme joto ili kuunguza ile nishati niliyotaja mwanzo).
Sasa kwa tafakuri ya kivivu kabisa majani yaliyoezeka nyumba hayawezi kushika moto bila mtu kuanzisha moto hapo maana sote tunafaham majani hayana Auto ignition property kama vile jiko la gesi, naanza kufikiria hiyo ajali imetokea mkoa gani
mimi nafikiria kitu kama hicho! wanapeleka kuku kwa waganga now! It is in TangaSoma kuanzia hapo kwenye nyota uliposema majani hayawezi kushika moto...kumbuka kuna jua...ndani watu wana pika...hapo joto linaweza kusababisa msuguano na O² kidogo tu motu unalipuka...hujawahi ona kwenye rundo la mataka taka kila siku kunafuka moshi
Kama ni Tanga tumsubiri huyu brother Mshana JrImetokea Tanga mjini just now and it is continuing. Wamekaa wanaona moto unazuka! Nimejaribu ku google vitu kama auto ignition of dry leaves, bado kama ulivyosema vinahitaji temperature iwe juu sana. sasa pale hakuna kitu kama hicho!
Wao wanashikiria kuna mchawi anarusha moto remotely! Kitu ambacho siamini. Kuna chemistry inahitajika kujibu hili.
Unakumbuka mchungaji mmoja alikua anakusanya hirizi za waumini wake. Anajifanya kuomba ili moto utokee uziunguze hirizi. kumbe ameweka Potasium permanganate and water! see this video
haiwezi kuwa na something of that nature kuwa labda wanatumia chemical ambayo wanaitawanya hovyo nyumbani?
Tanga sasa temp ni kubwa na nyumba hiyo iko chini (in height) na jiko lipo kando. nimejaribu kutafuta any scientific literature na bado naendelea kutafuta sababu maana I do not believe in voodoo! see this paperHakuna nilichoharibu, usinilaumu kwakua hujanielewa.
Nauliza imetokea mkoa gani ni swali lenye mantiki sana, mikoa inatofautiana kuanzia hali ya hewa, geographical location yake, tamaduni za jamii na tabia za watu wake.
Kwa mfano watu wa Kagera wanakumbwa na tetemeko kubwa ( katika Ritcher scale) la ardhi kama wewe ni mwana jiografia unaweza kupata picha kwanini Kagera na sio Tabora au sehemu nyingine, Lake Tanganyika kina kirefu nadhani yote unaelewa sasa.
Haya sema nimeharibu nini hapo?
Pamoja na hayo.Tanga sasa temp ni kubwa na nyumba hiyo iko chini (in height) na jiko lipo kando. nimejaribu kutafuta any scientific literature na bado naendelea kutafuta sababu maana I do not believe in voodoo! see this paper
Exactly, unajua katika science you have to traverse all possibilities and you eliminate one by one as you have suggested! Thank you!Pamoja na hayo.
Kama elevation ingekua ni fact yenye mashiko basi hizi ajali za moto tungeshazisikia sana Dar es salaam maana najua iko na joto kuliko Tanga, na hata kutoka sea level Dsm hailingani na Tanga
Mazingaombwe na michezo ya viini macho... Sio moto halisiKisa kiko hivi:
Kuna familia inaishi kwenye nyumba ya majani (imeezekwa kwa viungo). Jana mchana saa 8, ulizuka moto kenye paa lao.
Ukazimwa. Baada ya saa kama 10, ukazuka moto tena kwenye ukazimwa. Tena baada ya ya sa kama 5 ukawaka tena . Nikaitwa , wakati nipo , moto ukazuka tena.
Wao wanaamini kuwa kuna mchawi anatupa moto kwa remote. Mimi siamini vitu kamahivyo. Nikajaribu kufkiria chemistry ya moto in relation to majani makavu. Nikashindwa kupata connection.
Mwenye maoni anisaidie.
Mshana Jr
Vitu vinaungua watu wako nje, mtaa mzima upo hapo!Mazingaombwe na michezo ya viini macho... Sio moto halisi
Imetokea Tanga mjini just now and it is continuing. Wamekaa wanaona moto unazuka! Nimejaribu ku google vitu kama auto ignition of dry leaves, bado kama ulivyosema vinahitaji temperature iwe juu sana. sasa pale hakuna kitu kama hicho!
Wao wanashikiria kuna mchawi anarusha moto remotely! Kitu ambacho siamini. Kuna chemistry inahitajika kujibu hili.
Unakumbuka mchungaji mmoja alikua anakusanya hirizi za waumini wake. Anajifanya kuomba ili moto utokee uziunguze hirizi. kumbe ameweka Potasium permanganate and water! see this video
haiwezi kuwa na something of that nature kuwa labda wanatumia chemical ambayo wanaitawanya hovyo nyumbani?
Mmh...! Basi huo ni ile mioto ya kutumwaVitu vinaungua watu wako nje, mtaa mzima upo hapo!
hahaaHapa mtazunguka m buyu weee lakini mwisho mganga lazima ale kuku leo piga ua!.