Bill Lugano
JF-Expert Member
- Aug 20, 2018
- 1,210
- 6,774
Mwaka 2016 TV yangu iliungua baada ya radi kupiga shot toka kwenye Decoder ( nadhani ilianzia kwenye dish ikaletwa kwenye decoder hadi kwenye TV. Nlipopeleka kwa fundi akanambia TV Card imeungua.
Akatafuta nyingine kwa tsh 300,000 maana alinambia za Samsung zina shida na bei yake imechangamka kidogo.
Alipoipata ilipungua usb port.ya kwanza ilikuwa nazo 3 hii nyingne ipo moja. HDMI ya kwanza zilikuwa 3 hii zipo 2. But pia option ya ku copy and paste haikuwepo. Pia delete option haikuwepo.
Nmetumia kwa muda kama mwaka.ikaja tu ikatokea ina mstari katikati.nikaamua kuihamishia chumba cha wageni.lakin ukiwasha tv au kucheck movie kuna mstari unajichora.ila ubora wa kioo ni ule ule kwa angles zote.
Je naweza badilisha TV Card nikapata kama ya kwanza au updated one? Wapi naweza pata?
TV ni Samsung LEDTV SERIES 5 nch 43. Sitaki itupa sababu nahitaji ikae chumba cha wageni baada ya TV ya huko kuvunjika.