C chajasho Member Joined Dec 7, 2015 Posts 20 Reaction score 1 Jan 30, 2016 #1 Wataalam nisaidieni naweza pata wapi card ya flat screen yangu imepiga shot na haifai. Niko mkoani Njombe namba 0752048709 mwenye uelelewa nitapata wapi na kwa bei gani. Natanguliza shukurani asanteni.
Wataalam nisaidieni naweza pata wapi card ya flat screen yangu imepiga shot na haifai. Niko mkoani Njombe namba 0752048709 mwenye uelelewa nitapata wapi na kwa bei gani. Natanguliza shukurani asanteni.