MSAADA WA BLOG KWENYE ADSENSE

MSAADA WA BLOG KWENYE ADSENSE

SuperHb

JF-Expert Member
Joined
Mar 21, 2016
Posts
1,020
Reaction score
1,057
Habari wataalamu wangu

Nina blog tiyari ila...nasikia ukitaka upate pesa kupitia blog sharti uwe (Adsense)...sasa nimeifungua ADSENSE mpaka kweny kipengere cha Payments...mpaka Billing...sasa hapo sehemu ya BILLING ndo sijaelewa maana wananitakisha namba ya ACCOUNT YA BENKI....sasa kabla sijasubmit nimeona niulize kwanza mnipe uzoefu nisije nikaibiwa bure....
Screenshot_2017-12-28-12-35-34.png
 
nipigie mkuu simu yangu iliingia ugonjwa inajizima zima xx hv imetulia
 
Ninachokiana hapo ni adword account sio AdSense, hiyo huduma unatumia ukitaka kujitangaza na wewe ndo unawalipa sio wao wakulipe wewe.

Ukitaka kulipwa utahitajika kuwa na AdSense account (endapo blog yako inasifa)
Kama huna sifa jaribu seebait ya bongo hapa hapa
 
Mkuu...naona nimefugua account ya adsense....na imekubali
 
tena pole simu yangu sijui ishakufa inanizingua kqma upo whatsapp njoo nikupigie
 
Back
Top Bottom