Transcend 320gb bei 135,000wakuu naombeni kujua bei ya external hard disc GB 300 dukani ni shilling ngapi coz nataka nikanunue ili nihifadhi vitu vyangu vya muhimu vya kazini.
poapoa mkuu nashukuru sana ila kwa laki 1 siwezi nikapa.Transcend 320gb bei 135,000
Mkuu ulitaka kujua bei ama ulitaka kujua wap utapata hard disk ya laki 1???poapoa mkuu nashukuru sana ila kwa laki 1 siwezi nikapa.
nilikuwa naulizia bei na sio kujua wapi ntapata au nitainunua mkuu.Mkuu ulitaka kujua bei ama ulitaka kujua wap utapata hard disk ya laki 1???