Msaada wa BB 8520

Ngalewa

Member
Jun 24, 2012
97
10
Simu yangu ina shida nilikuwa naitumia vizur ila gafla ikazima now nikiwasha ina load ikifika katikati ina stop haiendelei wataalam naomben msaada.
 
Haijibu chochote kama error 432 kabla haija zima? Inaonesha alama ya betri na x?
 
itakuwa firmware yako imecorrupt. baadye nitarudi na instructions plus links za kukusaidia kuweka firmware upya. for now, naskia wali fish calling me :biggrin:
 
nisaidie kaka mana nikiwasha inaload nakuishia kati msaada no mawasiliano now.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom