Msaada wa app ya mpira

Msaada wa app ya mpira

CRICFy tv

Screenshot_20251001-225028.png
 
Ulete mrejesho.
Scars
Ajaribu na browser pia kuna altenatives nyingi

Ni kweli acheki na fawanews. Sc , unaandika jinsi ilivyo , nje ya hapo ni take. Fawa ni nzuri kwa mechi nyingi
 
Fawa iko overloaded sana servers zake

Siku hizi tunaangalia mechi kwenye site ambazo ni unpopular ndio tunapata streaming nzuri bila buffering za kijinga kijinga.

Hiyo Fawanews ukiwa unaangalia tukio la mchezaji kwenda kufunga goli utaona hapo hapo inaanza ku load, vinginevyo labda iwe mechi ndogo ambayo haiangaliwi na watu wengi.
 
Ni kweli , ila kwangu kidogo naona ina afadhal
 
Back
Top Bottom