Msaada wa App ya mazao

Entreprenuare

JF-Expert Member
Aug 24, 2019
1,616
1,714
Wakuu habari

Natafuta App itakayo nisaidia kujua mabadiliko ya bei za nafaka sokoni..

Maana, huwa napata shida sana, price fluctuation katika masoko yetu, mpka nianze kusikiliza radio, sometimes nakosa mda, au mpka niende sokoni.

So i want to my time, nikiwa na App.

Nb: iwe Kwenye App store, na iwe katika mazingira ya yetu ya kitanzania( based on local market)
 
Back
Top Bottom