Nchi gani ya Ulaya ambayo ni rahisi na nafuu kupata Visa?

Sio kila thread uchangie mkuu!
Acha sifa na shobo za kipumbavu,!!
Achana nae mkuu… Zamani Jamii forums ilkuwa ni ya watu wenye kujitambua siku hizi mpaka Vichwa mchungwa wasio na kazi specific za kufanya na bundle za kufanyia vitu vya Maana nao wapo Jamii forums

Ilimradi amejibu tu anafkiri Facebook hii 😂😂😂

Mwana Fala sana!
 
Namaanisha gharama za kupata visa ya kuingia nchini humo
gharama ni euro 43 hii ya chini kabisa, ila itategemea na aina ya visa...

bila kusahau mashart yake kama bank statement yenye kiasi cha pesa kama 30M za kitanzania na kuendelea

kama ni muajiriwa au umejiajiri kuna mashart yake pia

kama ni mwanafunzi kuna mashart yake

kama una enda kwa mwenza wako au familia yako kuna mashart yake...

pia kuna status zingine kama una milki nyumba hapa tanzania etc...

kama wataka vishoka watafute hayo yote huto ulizwa... utatajiwa kiasi cha pesa kulingana na visa unayo itaka...

kila la kheri... haya yote yapo mtandaoni... na website ya nchi husika...

schengen visa masharti yote ni sawa kwa nchi zote wanachama... nchi kama lithunia, albania ni rahisi kupata kuliko kukataliwa...

fatilia mitandaoni utapata taarifa

wapakstani, wahindi ni kama wanigeria wame zagaa kila pembe ya dunia...
 
Ahsante sana kiongozi Nimekuelewa vilivyo ila hapa hatuna ubalozi wa Albania wala Lithuania 🤔
 
Back
Top Bottom