Msaada Vodacom Modem Hi-Link

bona

JF-Expert Member
Nov 6, 2009
3,798
1,435
Wadau naomba msaada wa kuchakachua modem ya vodacom hi-link ndo nimenunua leo inaweza maelezo na jinsi ya kufanya ilishatolewa ial sikuwai soma maana sikua na interest nayo mpaka leo nilivyonunua hii modem... hasa hasa niko interested na ku optimise niweze pata fast download speed.. siko interested zaid na kuibadili ikubali line zote maan tayar natumia line hiyo hiyo ya voda!!!
 
  • Ingia hapa mkuu
    Code:
    [URL]https://www.jamiiforums.com/tech-gadgets-and-science-forum/543681-ku-unlock-modem-huawei-e303-hilink-ya-vodacom.html[/URL]
 
Back
Top Bottom