Msaada vodacom internet:connected but no internet access

Msaada vodacom internet:connected but no internet access

IrDA

JF-Expert Member
Joined
Aug 26, 2010
Posts
745
Reaction score
360
Jamani naombeni msaada kuhusu internet ya Voda.Line yangu ina bundle na extra credit pia kama 800 hivi,3G signals zipo na very strong.Nikijaribu kuconnect inaconnect lakini inaonyesha NO INTERNET ACCESS,nikifungua kwenye networks.Pia nikijaribu kufungua webpage yoyote inakataa.Tafadhali naombeni msaada kwa yoyote anayejua solution!!..
 
hata mie nimekutana na hili tatizo,nadhani tatizo litakuwa vodacom.Tungoje waje watalamu wakati huo mimi ngoja niwapigie voda
 
Hata mimi nilishakumbana na hilo tatizo.Nilichomoa modem kisha nika-restart computer na kubandika modem. Mambo yakawa waaa! Hebu nawe jaribu.
 
Back
Top Bottom