hapo mkuu umenicha mbali sna,,, nielekeze vizuri if possible
Run Command hz!
attrib-h-r-s-/s/df:/*.*
kwenye cmd
replace F with your drive letter.
Fanya hii kwa kila drive kwa ku change Drive letter!
Run Command hz!
attrib-h-r-s-/s/df:/*.*
kwenye cmd
replace F with your drive letter.
Fanya hii kwa kila drive kwa ku change Drive letter!
Kaka hapo kwenye attribute hidden readonly system file then s hapo si unashow all hidden file au una delete kabsa...unaposema df then nireplace with my drive letter so mfano iwe dd au dc...hii command kiujumla inalenga nini maana hiki kirusi kinapasua kichwa avast hakioni kabsa.....
Okay asante mkuu nitajaribu kui run tena kesho maana npo mbali na cmptr....upo sahii kaka #command ni hii
(attrib -h -r -s /s /dF:\*.*)
ila unapaswa kujua hi #attrib Command hutumika pia ku remove virus.
mana #autorun ndo mwenye mtindo, huo angalia command
attrib -h -r -s g:\ autorun.inf (enter)
del g:\autorun.inf
enter
command n nying xana kwa hii (attrib)
pia Malware bytes ni nzuri xana kwa kaz hz ila akiwa updated
Run Command hz!
attrib-h-r-s-/s/df:/*.*
kwenye cmd
replace F with your drive letter.
Fanya hii kwa kila drive kwa ku change Drive letter!
attrib -h -r -s /s /d j:\*.*
[/QUOTE]Pamoko maana hapa lazima nionekana BONGE la CODER nshaimeza hii command
Code:attrib -h -r -s /s /d j:\*.*
Copy na kupaste kwenye CMD afu enter
sehemu ya kuipata CMD
Windwos key+R itafunguka Run we TYPE CMD afu ENTER
Dude jeusi litafunguka copy hiyo code na kuipaste usiandike moja moja maana unaweza acha spaces hizo
Lkn zingatia kubadilisha hiyo "j" na Flash letter yako
command n nying xana kwa hii (attrib)
pia Malware bytes ni nzuri xana kwa kaz hz ila akiwa updated