TheChoji
JF-Expert Member
- Apr 14, 2009
- 4,975
- 15,316
Hii nyumba ni kubwa. Kwa mahesabu ya haraka haraka Urefu x Upana sio chini ya 18mx 15m hivi. Binafsi hua sipendi sebule ikae katikati ya nyumba maana itakua haina hewa, ningekua ni mimi hiyo sebule ningeipeleka kulia ili iwe na madirisha mbele na pembeni halafu dinning ndio ije katikati.Ndugu zangu!
Hebu turahisishe maisha, mawazo ya kitaalamu yanahitajika zaidi. Lakini hakuna BIASHARA.
Kwa ujenzi wa kisasa, weka vipimo vya mzingo na vyumba bila kujali ukubwa wa kiwanja.
Natanguliza shukrani.
View attachment 1984040
Ncha Kali.