Msaada: Vipimo vya hii ramani, nimeikwapua sehemu

Ncha Kali

JF-Expert Member
Sep 19, 2019
14,506
27,001
Ndugu zangu!

Hebu turahisishe maisha, mawazo ya kitaalamu yanahitajika zaidi. Lakini hakuna BIASHARA.

Kwa ujenzi wa kisasa, weka vipimo vya mzingo na vyumba bila kujali ukubwa wa kiwanja.

Natanguliza shukrani.
IMG_1558.jpg

Ncha Kali.
 
Ndugu zangu.!

Hebu turahisishe maisha, mawazo ya kitaalamu yanahitajika zaidi. Lakini hakuna BIASHARA.

Kwa ujenzi wa kisasa, weka vipimo vya mzingo na vyumba bila kujali ukubwa wa kiwanja.

Natanguliza shukrani.
View attachment 1984040
Ncha Kali.
Ramani nzuri sana--
Ningependa kumodify, vyumba vyote viwe na choo ndani.
Wajuzi watakuja kuweka vipimo
 
Kwa nini usiwaombe "Jenga nao" wakusaidie vipimo, bila shaka umeitoa kwao...

Hata hivyo mara nyingi vipimo hutegemea wewe wahitaji nini, mathalani wataka chumba cha kulala kiwe 3m x 3m au 3m x 3.5m n.k n.k
 
Ndugu zangu.!

Hebu turahisishe maisha, mawazo ya kitaalamu yanahitajika zaidi. Lakini hakuna BIASHARA.

Kwa ujenzi wa kisasa, weka vipimo vya mzingo na vyumba bila kujali ukubwa wa kiwanja.

Natanguliza shukrani.
View attachment 1984040
Ncha Kali.
Hongera ramani nzuri sana.

Wasiliana na UVIMO CIVIL WORK GROUP amabao ni watoa huduma kwenye nyumba (ONE STOP CENTER)
Watakutengenezea BQ yako nzuri.

0629361896
0753927572 +wasap

View attachment 1985071
Screenshot_20211011-140434.jpg
 
Kwa nini usiwaombe "Jenga nao" wakusaidie vipimo, bila shaka umeitoa kwao...

Hata hivyo mara nyingi vipimo hutegemea wewe wahitaji nini, mathalani wataka chumba cha kulala kiwe 3m x 3m au 3m x 3.5m n.k n.k

Yaani ramani yao nikwapue, halafu niwaombe vipimo…. ulisikia wapi?
 
Mi nashindwa nikusaidiaje, nichore hiyo ramani alafu niweke vipimo nikupe au niandike hapa vipimo?

Mkuu asante kwa kuja, unaweza kusaidia kwa namna yoyote nzuri kwako. Ila kama ukinipa nafasi nichague, mimi hata ukiweka hapo tu nitaelewa.

Mfano:
Urefu na upana wa jengo.
Sebule, jiko, dining, chumba 1-4…. ukiweka urefu na upana kwa namna rahisi inatosha kueleweka.

So far nimekadiria jengo liwe 17mx13m.
 
Back
Top Bottom