msaada,,,,vifaa vya ku unlock na kuflush sim

Chuck j

JF-Expert Member
Jun 17, 2011
2,358
815
Wataalamu ninaomba kujua ,kufahamishwa,zinakopatikana hizi kitu za kuflash simu,,
zzinauzwa wapi na bei yake,zinapatikana vipi?bei yake?SABABU NATAKA NIJIINGIZE KWENYE HII FANI,,NAWAKILISHA naomba mnijuze tafadhali
 
Anha unataka infinity box,jaf box etc!unaeza agiza net au nenda mitaa ya mafundi cm kariakoo!!bei yake kwa moja moja c chini ya laki5!nakushauri kama ndo unaanza anza na infinity box cuz inadeal sana na cm za kichina!akat jaf ni nokia original pekee
 
Back
Top Bottom