Hello wadau wote wa JF, napenda kufahamu ni wapi hapa Dar ninaweza ku-change ile mikanda ya Matofali (VHS) kuwa DVDs? ninaomba msaada kujuzwa kwa yeyote yule mwenye kufanya hiyo kazi au kama una-fahamu popote uniambie, ninashehena kubwa nataka kuichange. Pia ikiwa unafahamu bei ya ku-change VHS, tafadhali nijuze!
Asateni kwa ushirikiano wenu!
Asateni kwa ushirikiano wenu!