Dreadnought JF-Expert Member Joined Mar 25, 2013 Posts 2,920 Reaction score 4,015 Feb 26, 2014 #1 Habarini wakuu, Ninaomba msaada kama kuna mtu ana audio au video ya wimbo T shirt na jeans wa university corner, naomba sana anitumie, kwa njia yoyote ile, au hata link ambayo naweza upata itakuwa vizuri. Ahsanteni.
Habarini wakuu, Ninaomba msaada kama kuna mtu ana audio au video ya wimbo T shirt na jeans wa university corner, naomba sana anitumie, kwa njia yoyote ile, au hata link ambayo naweza upata itakuwa vizuri. Ahsanteni.