Zasasule
JF-Expert Member
- Aug 12, 2009
- 1,001
- 103
Habari zenu wakuu,
Ninahitaji kutuma pesa internationally kutoka Tanzania kwenda India. Njia kuu nilizozisikia ni Western Union na Moneygram..
Katika hizi ipi ni bora na kwa nini? Je, makato yake yanakuwaje? Especially kutoka Tanzania kwenda India? Na nchi nyingine je inakuwa vipi?
Maelezo niliyopewa wakati naulizia hii huduma;
Nimeenda Bank fulani hapa Dar, jibu walilosema ni kuwa wao wanapokea Tz wakati wa ku-send, yaani hawatumi Dollar direct, so inabidi ufanye exchange to Tz ndo utume. Je, huu ndo utaratibu? lazima iwe TZS na siyo Foreign Currency?
Je, neno la siri siyo lazima?? couse wamesema kwao wao hawatumii neno la siri, but wanatumia MTCN...
Msaada, nimekwama, nahisi kama pana utapeli hapa...
Natanguliza shukrani..