Msaada utaratibu wa uhamisho Kisheri

Msaada utaratibu wa uhamisho Kisheri

Maarab

JF-Expert Member
Joined
Jun 21, 2017
Posts
415
Reaction score
257
Tafadhali..husikwa na Mada tajwa hapo juu..
Kuna Mwanafunzi wa Sekondar inatakiwa afanyiwe Uhamisho toka Shule Moja ya Mkoani kwenda Wilayani..

Mkuu wa Skonga yaMkoani anadai kule anaenda inatakikana aje na barua yaSkuli aendayo ikiwa Mhuri.

Vilevile na kwahuyu Mkuu wa Skuli Wilayani anasema huwa hawatowi barua yoyote khs Uhamisho..KizunguZungu tupu!

yaani Utaeza mpiga mtu asee

Labda ni Mimi Sjui taratibu nini...Sasaa ni zipi tafadhali this is too much trouble..

Wakuu Wenyewe wa Skuli hawatoi ushirikiano wowote

inafkia hatu nahisi maybe inatakiwa ni"Do somethin"

Tadhali ni zipi taratibu za Kisheria khs Uhamisho Mw/funzi???.

Ahsante nawasilisha:
 
Taratibu za sasa zimekuwa ngumu mzee. Wakuu wa shule wanaogopa kuongeza wanafunzi kwenye report zao za kila week Magu kabana.

Ila kiutaratibu ni hivi.

Lazima uwe na sababu ya kuhama. Kisha wew mzazi tafuta shule ya mwanao kuhamia na uhakikishe umekubaliana na mkuu wa shule unayotaka mwanao ahamie.

Mkishakubaliana inakuwa ni rahisi tu, mnaandika barua kwa mkuu wa shule wa sasa kupitia kwa afisa elimu wake. Kisha mtapewa barua mtaenda nayo anapohamia.
barua inaandikwa kwenda kwa Mkuu yupi sasa...na yupi kati ya hao atae anza kuandikiwa barua na Je,ni mi binafsi naandika ama Mkuu kati ya hao?
 
Kikawaida ukitaka kuhama shuleni utaulizwa unahamia wapi? Utataja shule fulani. Sasa kama haujaongea na mkuu wa shule uliyoitaja utaenda utaambiwa hakuna nafasi zimejaa.

Na hakuna mkuu wa shule atakubali kukupa uhamisho pasipokujihakikishia shule unayohamia kama umepata nafasi.

Watu wanachofanya ni kutafuta kwanza nafasi katika shule wanayotaka kuhamia kisha ndipo huomba uhamisho.

Nafikiri hadi hapo tupo wote
mi nimekuelewa..na nilfanya km vile umeainisha hapo kwnza ilienda kwa hio Shule Mkoani akasema.."kule aendako inatakiwa wakupe barua yenye sign then nimpelekee Mkuu waMkoani ndio aidhinishe Uhamisho..

Cha ajabu huyu Mkuu waWilayani naye anadai hizo
taratibu hamnaga,sasa nashindwa kuelewa which is which..asee!!
 
Sasa mkuu wa mkoa uhamisho Wa wanafunzi unamhusu nini au mkuu wa wilaya.

Mimi mwaka 2015 mdogo wangu alipangiwa Biharamulo akakataa kwenda nikamfanyia taratibu za kuhama na nilifanikiwa kwa utaratibu huo alikuwa A'level lakini. Labda utaratibu wa Magu umebadilika mzee au hao wakuu wa shule wanataka kitu.
hapo ujanielewa Kiongozi ni Mkuu wa Wilayani na Mkoani yaani Mw/Mkuu Mkoani na Wilayani.
thankx Ushirkiano wako.
 
Tafadhali..husikwa na Mada tajwa hapo juu..
Kuna Mwanafunzi wa Sekondar inatakiwa afanyiwe Uhamisho toka Shule Moja ya Mkoani kwenda Wilayani..

Mkuu wa Skonga yaMkoani anadai kule anaenda inatakikana aje na barua yaSkuli aendayo ikiwa Mhuri.

Vilevile na kwahuyu Mkuu wa Skuli Wilayani anasema huwa hawatowi barua yoyote khs Uhamisho..KizunguZungu tupu!

yaani Utaeza mpiga mtu asee

Labda ni Mimi Sjui taratibu nini...Sasaa ni zipi tafadhali this is too much trouble..

Wakuu Wenyewe wa Skuli hawatoi ushirikiano wowote

inafkia hatu nahisi maybe inatakiwa ni"Do somethin"

Tadhali ni zipi taratibu za Kisheria khs Uhamisho Mw/funzi???.

Ahsante nawasilisha:
anayekukwamisha ni mwenye nafasi mi nimehamisha kijana wangu toka simiyu kumleta morogoro nishakamilisha
 
Back
Top Bottom