Msaada: Utamu usio wa kawaida wakati nakojoa

willy ze great

JF-Expert Member
Apr 30, 2013
1,026
1,179
Wadau nasumbuliwa nikikojoa nasika utamu sana usio wa kawaida ndani ya uume au nikibinya uume nasika raha kama ile ya kufika kileleni. Mimi nina miaka 20. Au nikipigapiga uume kwenye mkono nasikia utamu, tatizo ni nini? Sio Kaswende au Gonorea?
 
Kunywa Cipro 1 dose, ukiona bado choma sindano ya ethromycin kwa siku tatu, ila kwa uhakika zaidi kacheki kipimo cha Vdrl..

Option ya pili, kama unapiga nyeto sana hyo inaweza kua sababu,
 
Kunywa Cipro 1 dose, ukiona bado choma sindano ya ethromycin kwa siku tatu, ila kwa uhakika zaidi kacheki kipimo cha Vdrl..

Option ya pili, kama unapiga nyeto sana hyo inaweza kua sababu,

Over-counter medications ni hatari Mkuu, acha aende hospital jirani kwa utambuzi zaidi coz maelezo yake ni mafupi sana kufanya diagnosis kaka
 
Back
Top Bottom