Mr.Mark....nataka kwenda Sudan yenye unafuu. I mean....jimbo au sehem ambayo naweza kufight maisha na kutoka. Najua mwanzo utakua mgumu. Na kama nilivyotangulia kusema awali...nipo tayari hata kwa kuanza kua kuri...au mjenzi. Kwa kazi za chini kabisa za mtu ambae hajasoma.
unataka kuendaje kwanza kwa kuzamia au kwa kufuata taratibu halari?
kwa khartoum na miji yake labda naweza kuwa na idea.
1.Lugha ya mawasiliano pale inaitwa darijia hii ni sleng ya kiarabu, kama utakuwa hujui kiarabu communication itakupa tabu sana.
2.lugha ya kingereza zaidi inatumiwa na watoto wa familia bora na wageni na mostly waganda na wasudani kusini ambao wengi pale waliishi kama daraja la chini mno.
3.khartoum ni mji wenye maendeleo makubwa mno, jinsi ilivyo khartoum ina mikoa/wilaya tatu nazo ni bahari,omduruman na khartoum yenyewe. kwakuwa ni mji ulioendelea sana basi hata population yake ni kubwa sana na kazi hasa za ujenzi ni nyingi sana.
4.tatizo kubwa nililoliona pale ili uwe na amani unatakiwa uwe na work permit siyo rahisi kuishi bila permit, kwani misako ni mingi na ni any time, police wanaweza amua funga mtaa mfano msimbazi kisha wakakusanywa vijana wote wasioeleweka eleweka na kupelekwa shurutwa/police kisha unahojiwa ukichemka tu unafungwa
5.ukitaka uende vizuri kwanza ni uwe na mwenyeji kule, kisha uende kihalali kabisa ukifika kule ulipie working permit kisha ndio uanze kusaka kazi. kama una proffesional am sure unaweza pata kwenye UN aggencies zipo nyingi sana na wanakuwa wanahitaji wanaojua kizungu. wasudani wengi kizungu wameanza kukisoma miaka hii hii ya 2000.
6.kwa sasa kuna vijana wengi wa kizambia wanafanya kazi za kufundisha kwenye academy na british council center.
7.pale kulikuwa na mabaharia wengi sana na bado wako ila kutokana na life ilivyongumu na walikuwa hawako kiharali I saw them just surfaring there.
8.mabaharia wajanja ili kumudu life na kupata backup ya kuishi pale waliamua kuowa watoto wa kisudani, watoto wa kisudan ni wakali ila kwa kwakuwa wewe ni ngozi nyeusi kama utakuwa unafanya kazi za box utaishia kwa wadinka(they are very very very black by nature)
...............
.........