Msaada/ushauri

Msaada/ushauri

Sarafina1

Senior Member
Joined
Mar 28, 2011
Posts
153
Reaction score
85
Wakuu natumaini mu wazima,

Natafuta mashine za kutengeneza vifuko vya plastik vile vinavyofungia ubuyu, barafu, ice cream home made etc kwa anaejua zinapatikana wapi dar na bei anisaidie tafadhali
 
Back
Top Bottom