Msaada: Ushauri wa ufugaji wa mbuzi kibiashara

Siwezi kudhani kuwa atawasubiri labda yeye mwenyewe angesema kama atawasubiri
ndo maana nikakukumbusha kuwa jamaa amesema anaomba ushauri kwenye kufuga mbuzi, na sio kuanzisha hotel ya nyama ya mbuzi!
 
ndo maana nikakukumbusha kuwa jamaa amesema anaomba ushauri kwenye kufuga mbuzi, na sio kuanzisha hotel ya nyama ya mbuzi!
Ndio maana nikakuambia jamaa ameomba ushauri wa kufuga mbuzi kibishara, na hotel ya nyama bado ipo kibiashara pia
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…