comrade_kipepe
JF-Expert Member
- Jun 25, 2019
- 6,527
- 11,686
Hua naogopa sana kula nyama ya mbuzi, niliwah kula nyamachoma nikaamka kesho yake miguu inauma kwenye magoti, tokea hiyo siku nikaitema, mwaka wa 15 huu
Pia chanjo na dawa za minyoo kila mweziSafi
Wewe mtoto wa kaka?wewe unaonekana mtoto wa mama,.?
Itakuwa una allergy nayo, kuna mwambo yeye akila ya ng'ombe anapata homa na kuvimba ngozi🤣Hua naogopa sana kula nyama ya mbuzi, niliwah kula nyamachoma nikaamka kesho yake miguu inauma kwenye magoti, tokea hiyo siku nikaitema, mwaka wa 15 huu
Inawezekana, japokua zina hela sana natafuta eneo nifuge ukanda huu wa pwani.Itakuwa una allergy nayo, kuna mwambo yeye akila ya ng'ombe anapata homa na kuvimba ngozi🤣
TupambaneInawezekana, japokua zina hela sana natafuta eneo nifuge ukanda huu wa pwani.
huwezi kusema mbuzi huwa hashibagi mkuu..?Wewe mtoto wa kaka?
Ushawah chunga au fuga mbuzi?huwezi kusema mbuzi huwa hashibagi mkuu..?
Unataka kunifuatilha au ..?Aisee umejianika mwenyewe kisa biashara ya mbuzi
Huu udalali wa wale wauzaji na wanunuzi wa vyuma chakavu..Mbuzi usifuge, wanunue/wakusanye unawafanyia fattening/kunenepesha miezi miwili mitatu unawauza.
Ukifuga mbuzi kwa leo la kuwazalisha wawe wengi hayo maisha yako hayatabadirika. Waige wasomali, wananunua mbuzi wadogo wadogo minadani, wanawaweka kwenye mazizi yao ya muda, wwananenepesha miezi mitatu l, wana sort wanawauza mikoani. Hujawahi kutana na fuso tandam imejaa mbuzi wanapelekwa mjini?
Mbuzi wakutengeneze mzunguko, nunua uza. Maana mbuzi hana magonjwa, ila ni msumbufu kumfuga kwa lengo la kumzalisha.
Nenda pembeni kwa kutulia, unanunua mbuzi ambae ukimhudumia miezi mitatu anafaa kuliwa na kuuzwa. Unakusanya kwa bei ndogo, unakuja muuza kwa bei kubwa. Kila baada ya miezi minne unatoa mbuzi shambani kupeleka sokoni, wanazunguka. Ukianza sijui uwazalishe wafike kadhaa utachelewa.
mura acha ungese! Yaani unakuja kuomba ushauri kwenye suala kama hili? Au wewe ni mtoto wa mama?Ndugu zangu nipo Tarime, nafikiria kufanya ufugaji wa mbuzi, nisaidieni madini ni namna gani naweza kufaidika na mradi huu na kubadilisha maisha yangu
amesema anataka kufuga mbuzi, sio kufungua hoteli ya kuuza nyama ya mbuzi!Akifungua na kijisehemu cha kupata mchemsho safi wa mbuzi , ataokota pesa kwenye mifuko
Unaweza fuga na kufungua Hotel ya kuuza supu au bucha piaamesema anataka kufuga mbuzi, sio kufungua hoteli ya kuuza nyama ya mbuzi!
hapana! Yeye amesema kufuga mbuzi! Sasa hauwezi kufungua hoteli ya supu halafu ukategemea mbuzi unaowafuga!Unaweza fuga na kufungua Hotel ya kuuza supu au bucha pia
Kaomba ushauri wa ufugaji wa mbuzi kibiashara , kwa nini ushindwe kutegemea?hapana! Yeye amesema kufuga mbuzi! Sasa hauwezi kufungua hoteli ya supu halafu ukategemea mbuzi unaowafuga!
Mpaka kufikia hapa nilipo nachunga tena nawamiliki mi mwenyeweUshawah chunga au fuga mbuzi?
Tusaidiane experience mkuuMpaka kufikia hapa nilipo nachunga tena nawamiliki mi mwenyewe
mbuzi huchukua muda mrefu kukua! Almost 1 year!! We unadhani atawasubiri?Kaomba ushauri wa ufugaji wa mbuzi kibiashara , kwa nini ushindwe kutegemea?
Siwezi kudhani kuwa atawasubiri labda yeye mwenyewe angesema kama atawasubirimbuzi huchukua muda mrefu kukua! Almost 1 year!! We unadhani atawasubiri?