Msaada: Ushauri wa ufugaji wa mbuzi kibiashara

Hua naogopa sana kula nyama ya mbuzi, niliwah kula nyamachoma nikaamka kesho yake miguu inauma kwenye magoti, tokea hiyo siku nikaitema, mwaka wa 15 huu
 
Mkuu zingatia pia kufuga mbuzi inahitaji busara sana tofauti na hapo utawaua wote🙌🏿🙌🏿, wale jamaa wasumbufu sana. Hata hivyo Kila la kheri mkuu, ingia YouTube mtafute jamaa mmoja anaitwa hamiisi ssemanda ni mganda ana nondo nyingi sana.
 
Huu udalali wa wale wauzaji na wanunuzi wa vyuma chakavu..
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…