Msaada: Ushauri wa ufugaji wa mbuzi kibiashara

Nakushaur tafta eneo kule magena au nyandoto ndo uwafuge..ukiwafuga mjin magonjwa yatawaandama sana.au la tafta wafugaji wakubwa waaminifu wape wakufigie angalau kwa mkataba wa mwaka 1 ili ujifunze mbinu zao kisha baada ya huo mda kuisha utakuwa umejijenga kwa kuwa na eneo zuri na utakuwa na maarifa ya kutosha jins ya kuzikabili changamoto zao
 
Aisee ndugu Mungu akubariki sanaaa.

Hii namna ya kunenepesha ni malisho au kuna supplements unawapa katika process hii? karibu mkuu
 
Hakika hata mimi niliwaza magena maana kuna maeneo makubwa mnoo pia ni pa kijani.

Ahsante boss
 
Hii ni zaidi ya shule💯💯
 
wa kumwaga mura hapa stend tuna kura mbuzi plus kichuri kwenda mbele kila siku yaani wateja ni wengi sana mura
Ahsante mura.

Kuna mtu amechangia hapo na nimependa hoja yake ya kununua wadogo na kuwanenepesha then niwauze. Unaonaje hii idea? Itaniwezesha kupata wateja kwa wingi wa kununua mbuzi mzima tofauti na kuuza nyama choma?

Pia Jumapili rebu kuna mnada wa mbuzi pia kuna mnada gani mwingine wa mbuzi unaoujua?

Karibu mura
 
Hiyo ndio bab kubwa, unapata pesa kwa haraka sana bila kuvumilia vipindi vingi vyenye changamoto lukuki vya ufugaji
 
Hiyo ndio bab kubwa, unapata pesa kwa haraka sana bila kuvumilia vipindi vingi vyenye changamoto lukuki vya ufugaji
Hakika mkuu na pia nimeona moja ya njia ni kuwaweka katika banda na kuwalisha vizuri kuliko kutembea sana kujitafutia hii inapunguza energy na uzito wao.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…