Msaada: Ushauri wa ufugaji wa mbuzi kibiashara

Msaada: Ushauri wa ufugaji wa mbuzi kibiashara

Mbuzi usifuge, wanunue/wakusanye unawafanyia fattening/kunenepesha miezi miwili mitatu unawauza.

Ukifuga mbuzi kwa leo la kuwazalisha wawe wengi hayo maisha yako hayatabadirika. Waige wasomali, wananunua mbuzi wadogo wadogo minadani, wanawaweka kwenye mazizi yao ya muda, wwananenepesha miezi mitatu l, wana sort wanawauza mikoani. Hujawahi kutana na fuso tandam imejaa mbuzi wanapelekwa mjini?

Mbuzi wakutengeneze mzunguko, nunua uza. Maana mbuzi hana magonjwa, ila ni msumbufu kumfuga kwa lengo la kumzalisha.

Nenda pembeni kwa kutulia, unanunua mbuzi ambae ukimhudumia miezi mitatu anafaa kuliwa na kuuzwa. Unakusanya kwa bei ndogo, unakuja muuza kwa bei kubwa. Kila baada ya miezi minne unatoa mbuzi shambani kupeleka sokoni, wanazunguka. Ukianza sijui uwazalishe wafike kadhaa utachelewa.
 
Ahsante mura, vp tarime nitapata wateja wa mbuzi mura weito??
Usilenge soko la tarime tu , unaweza fuga huko tarime ila ukapata soko Tanzania nzima na hata nnje , huko moro kuna mwarabu mmoja anakula pesa ya mbuzi kama mwehu , anapeleka mpaka arabuni kipindi cha mfungo
 
Mbuzi usifuge, wanunue/wakusanye unawafanyia fattening/kunenepesha miezi miwili mitatu unawauza.

Ukifuga mbuzi kwa leo la kuwazalisha wawe wengi hayo maisha yako hayatabadirika. Waige wasomali, wananunua mbuzi wadogo wadogo minadani, wanawaweka kwenye mazizi yao ya muda, wwananenepesha miezi mitatu l, wana sort wanawauza mikoani. Hujawahi kutana na fuso tandam imejaa mbuzi wanapelekwa mjini?

Mbuzi wakutengeneze mzunguko, nunua uza. Maana mbuzi hana magonjwa, ila ni msumbufu kumfuga kwa lengo la kumzal
Naunga mkono hoja
 
Back
Top Bottom