Msinitenge msinihukumu - natembea na mswaki masaa 24 nanuka mdomo pumzi mbaya

FM94

New Member
May 17, 2022
2
0
2010 nikiwa kidato Cha kwanza ndipo tatzo lilianza japo nilion ni Hali ya kawaida tu lakin kadiri muda ulivyoenda limekuwa tatizo sugu kwangu mpaka namalizs fomu 4 sikuwa na rafiki Wala ukaribu na watu nilikuwa bubu nilitmn kuongea ila niliponyanyua tu MDOMO kila mtu aliziba pua na MDOMO.

Historia ni ndefu Sana nimehangaik tiba sana za asili mpaka hosipitalini ila nimeshndwa.

Imefika muda kitendo cha kupishna tu na mtu njian tayari ashaziba pua.

Nateseka Watanzania wenzangu naombeni msaada hata wa ushauri natembea na MSWAKI yaan napata shida sana sijui wap nitapona mimi ndugu zangu niwe kama wengine nicheke kama wengine niongee nipigie stori.

Nimekuwa mtu wa kujitenga kila muda nimetumia dawa mbalimbali nmesafish mpk meno lakin Hali bado mbaya Sana.
 
Figo ini kongosho vinatoa matokeo halisi ya utendaji kazi wake? Kwa maana hiyo hata tumboni nako nadhani unapata shida?

Mara ya mwisho hosptali uliambiwaje?
 
Itakuwa tatizo sio kinywa ndugu hiyo harufu itakuwa inatokea huko ndani nenda hospital ukafanya vipimo zaidi huo mswaki achana nao
 
2010 nikiwa kidato Cha kwanza ndipo tatzo lilianza japo nilion ni Hali ya kawaida tu lakin kadiri muda ulivyoenda limekuwa tatizo sugu kwangu mpaka namalizs fomu 4 sikuwa na rafiki Wala ukaribu na watu nilikuwa bubu nilitmn kuongea ila niliponyanyua tu MDOMO kila mtu aliziba pua na MDOMO.

Historia ni ndefu Sana nimehangaik tiba sana za asili mpaka hosipitalini ila nimeshndwa.

Imefika muda kitendo cha kupishna tu na mtu njian tayari ashaziba pua.

Nateseka Watanzania wenzangu naombeni msaada hata wa ushauri natembea na MSWAKI yaan napata shida sana sijui wap nitapona mimi ndugu zangu niwe kama wengine nicheke kama wengine niongee nipigie stori.

Nimekuwa mtu wa kujitenga kila muda nimetumia dawa mbalimbali nmesafish mpk meno lakin Hali bado mbaya Sana.
Contact;
+255 678 211 747.
 
Ndugu nenda mhimbili haraka ukapime maradhi ya tumbo ndugu yangu alikuwa na tatizo kama hilo ilikuja kuonekana ana saratani ya utumbo na shida kweny ini ... japo sikutishi ila tafadhali usiendelee kuipuuza hiyo hari nenda hospital kubwa
 
Back
Top Bottom