Msaada: Ushauri au harambee ya kuniwezesha kupata ada ya kumalizia semester

Ndugu wanaJF mdogo wenu nimekwama kabisa hivo naitaji ushauri, msaada au harambee ntafushukuru sana. Imebaki week moja tu tufanye mtihani 12/02/2018 wa kumaliza semester one mwaka wa masomo 2017/2018 ni hapa CHUO CHA USAFIRISHAJI TANZANIA (NIT), bado/nimeshindwa/mama angu ameshindwa kupata hela ya ada muhula huu wa masomo ambayo ni 800,000 TSH kati ya 1,500,000 ya mwaka mzima,
kutokana na hali ngumu ya maisha iliyobadika miaka minne iliyopita.

Ndugu wanaJF mimi niko mwaka wa pili mechanical engineering niliomba mkopo mara mbili na kukata rufaa lakini nilikosa mkopo japo nasoma kozi yenye kipaumbele, nasoma kwa shida nadownload maji ya bomba najibana pesa ya matumizi.

Ndugu wanaJF imefika hatua sipati usingizi, nikisoma sielewi nawaza tu hiyo ada na je ndo mwisho wa elimu yangu? Mimi ninachotaka ni ushauri, msaada au harambee ambae ataguswa na hili watu mia nane wanatosha kabisa kuniwezesha kupata ada kwa kunichangia 1000 TU au chochote kitu iliniweze kufanya mtihani.

0762165498-William shora
William shora nimekukumbuka mzee nachukua namba yako nitakutafuta
 
mimi mwenyewe niko hapa ST.JOHNS DODOMA hapa... sijui nitalipa nini na mitihani ya semester inaanza mwezi wa tatu mapema kabisa,,, nailaani sana serikali ya CCM . haiwezekani ndani ya taifa moja serikali inabagua wanafunzi wa kuwasomesha. yaani ndani ya tanzania moja kuna wananchi wana haki ya kuhudumiwa na serikali na wengine hawana. DHAMBI YA UBAGUZI.
MKUU Naomba uoneshe sehemu ambayo nimeomba hela ya mtu hapo... niliandika hili kuonesha kuwa wahanga wa kukosa mkopo tuko wengi
 
haupo siriaz mtoa mada...... siwezi kukupa pole yangu, utakuwa tapeli.

kwenye post zako unaonekana una mishe mishe sana mpaka za magari, simu nk. laki nane unakosa ? ok sio hoja, unaweza kukosa.

tukuamini vp ? kuna wadau wamekuambia weka full details hapo, naona umeng'ang'ania kusema wakucheki kwa mawasiliano zaidi. unadhani waliopo hapa ni watoto wenzio ? au ni wa kolomije ?
kama kweli una shida weka details zifuatazo utasaidiwa.

1. majina yako matatu (yaliyopo kwenye vyeti vyako)
2. cheti cha form four/six
3. barua kutoka kwa dean wako
4. reg number yako ya chuo
5. account namba yako ya chuo, huwezi kupewa hela cash ukaweke heshima bar, utaingiziwa kwenye akaunti moja kwa moja. hata kama hela zitachangwa, mods wanaweza kuweka utaratibu mzuri akakusanya mtu mmoja alafu zikawekwa kwa akaunti ya chuo.
Duh kazi ipo hapa ..kama ni tapeli mbio zake hazitachukua round
 
Lazima tukwambie kwani ww ni nani hapa JF? Hata ungekuwa JPM nakwambia tu!!!!
niambiwe kwa kitu nilichofanya sawa, ila kwa nisichofanya si sahihi. hakuna mahala andiko langu limeomba mchango wa mtu hapo.
 
wakuu kesho kesho ntaweka hapa barua ya uthibitisho kutoka kwa dean kuthibitisha ni mwanafunzi , mimi sio tapeli namba yangu ya chuo hii hapa NIT/BME/2016/579 SHORA WILLIAM
Wale wanaohoji uthibitisho wa kijana, ndio huu hapa sasa, tuchange kijana afanye UE
 
Je hii ya leo? Ya hela kuwa una umwa?
hapana ni hili andiko la huyu mwanachuo mwenzangu alikua akiomba msaada wa ada. anasema ni mimi ninatapeli kuwa na siku io niliomba katika andiko hili, ilhali nilikua mchangiaji tu wa mada na ukisoma comment yangu utaona.
 
haupo siriaz mtoa mada...... siwezi kukupa pole yangu, utakuwa tapeli.

kwenye post zako unaonekana una mishe mishe sana mpaka za magari, simu nk. laki nane unakosa ? ok sio hoja, unaweza kukosa.

tukuamini vp ? kuna wadau wamekuambia weka full details hapo, naona umeng'ang'ania kusema wakucheki kwa mawasiliano zaidi. unadhani waliopo hapa ni watoto wenzio ? au ni wa kolomije ?
kama kweli una shida weka details zifuatazo utasaidiwa.

1. majina yako matatu (yaliyopo kwenye vyeti vyako)
2. cheti cha form four/six
3. barua kutoka kwa dean wako
4. reg number yako ya chuo
5. account namba yako ya chuo, huwezi kupewa hela cash ukaweke heshima bar, utaingiziwa kwenye akaunti moja kwa moja. hata kama hela zitachangwa, mods wanaweza kuweka utaratibu mzuri akakusanya mtu mmoja alafu zikawekwa kwa akaunti ya chuo.
Kama huwezi kumsaidia si unyamaze tu kakuomba elf moja tuu unaandika yote haya je angekuomba msaada wa kupelekwa kutibiwa nje unge fanya nini...jaribu kuvaa viatu vyake..kaweka namba mpigie kama unataka kumsaidia...dunia hii bhana ndio maana mungu hakumpa binadamu nafasi ya kugawa riziki au OXYGEN
 
Ndugu wanaJF mdogo wenu nimekwama kabisa hivo naitaji ushauri, msaada au harambee ntafushukuru sana. Imebaki week moja tu tufanye mtihani 12/02/2018 wa kumaliza semester one mwaka wa masomo 2017/2018 ni hapa CHUO CHA USAFIRISHAJI TANZANIA (NIT), bado/nimeshindwa/mama angu ameshindwa kupata hela ya ada muhula huu wa masomo ambayo ni 800,000 TSH kati ya 1,500,000 ya mwaka mzima,
kutokana na hali ngumu ya maisha iliyobadika miaka minne iliyopita.

Ndugu wanaJF mimi niko mwaka wa pili mechanical engineering niliomba mkopo mara mbili na kukata rufaa lakini nilikosa mkopo japo nasoma kozi yenye kipaumbele, nasoma kwa shida nadownload maji ya bomba najibana pesa ya matumizi.

Ndugu wanaJF imefika hatua sipati usingizi, nikisoma sielewi nawaza tu hiyo ada na je ndo mwisho wa elimu yangu? Mimi ninachotaka ni ushauri, msaada au harambee ambae ataguswa na hili watu mia nane wanatosha kabisa kuniwezesha kupata ada kwa kunichangia 1000 TU au chochote kitu iliniweze kufanya mtihani.

0762165498-William shora
Usihangaike kujibu wanao kuita tapeli kwa kuwaomba msaada ya elf tu...achana nao wanaotaka kukusaidia huwa hawana haya umesha weka namba yako basi atakaye kusaidia atakusaidia other wise utapata stress nyingine
 
Kama huwezi kumsaidia si unyamaze tu kakuomba elf moja tuu unaandika yote haya je angekuomba msaada wa kupelekwa kutibiwa nje unge fanya nini...jaribu kuvaa viatu vyake..kaweka namba mpigie kama unataka kumsaidia...dunia hii bhana ndio maana mungu hakumpa binadamu nafasi ya kugawa riziki au OXYGEN
naona umejifungulia ID mpya na kuja kujijibu comments ulizopewa. ondoa utapeli hapa, kuchangiwa sio ishu weka details hapa. amna hela za bure bure pumbavu.
 
Usiilaum serikali, maana vyuo vya serikali havina wanafunzi then vyuo binafsi vinajaza wanafunzi na ndo maana ukitaka mteremko soma vyuo vy serikali
Mimi napingana na wewe kwa mawazo yako. Ninaye ndugu yangu anasoma shahada ya kwanza ya udaktari Muhimbili amenyimwa mkopo na serikali kwa kigezo kuwa alisoma private o level. Ni mwaka wa pili sasa lakini hata ada ya semester hii ya pili hajalipa. Ameandika barua kwa makamu mkuu wa chuo ya kuomba alipe taratibu na amepewa mpaka March kabla ya mtihani awe amelipa. Kumbuka maisha yanabadilika sana, mzazi huyo huyo aliyemsomesha o level private sasa hana chochote. Hapa anasoma kwa kuchanga changa make hata mashamba ya kuuza yameshaisha. Yaani ni shida tu. Kwa hiyo unaposema vipaumbele vipo vyuo vya serikali Mimi nakupinga.
 
Pole sana dogo. Tutakuwezesha kadri ya majaaaliwa. Nawasihi wanaJF tuwe na huruma. Inapofikia mtu kuweka hadharan Reg. No. Yake ya Chuo na tukaendelea kumkejeli haileti taswira nzuri. Kwa haraka haraka huyu bw.mdogo atakua na msongo wa mawazo pia. Hivyo ni vema tumpe moyo wa kupambana kuliko kumvunja moyo. Mungu akujaalie nguvu dogo.
 
Back
Top Bottom