Msaada: USB flash drive imegoma kusoma ghafla

Msaada: USB flash drive imegoma kusoma ghafla

magnifico

JF-Expert Member
Joined
Jan 14, 2013
Posts
14,042
Reaction score
34,462
Habari zenu wakuu, nina flash aina ya Imation 8gb ambayo mara ya mwisho kudetect ilikua wakati nakopi vitu toka kwenye pc. Ila saizi kila nikiiconnect haioneshi response yoyote ile, nimejaribu karibia Pc tatu lakini bado tatizo lipo pale pale.
 
Nenda kwenye command prompt andika diskpart itatokea black screen ya command prompt andika list disk ukiona ipo sawa kuna baadh ya command nitakupa kama haitaonekana
 
sasa kama umeishaijaribisha pc 3 iyo mbovu tupa kule
 
Nenda kwenye command prompt andika diskpart itatokea black screen ya command prompt andika list disk ukiona ipo sawa kuna baadh ya command nitakupa kama haitaonekana

Shukrani kaka, najaribu nitaleta feedbacks.
 
waacheni watu wa pumba...kuna watu wanawaondolea stress!! dunia ina watu!
 
Mkuu
Nina flash disk yangu haisomi kwenye mashine. Tatizo linaweza kuwa nini ?
 
Hayo maflash mabovu sana kuna moja nilinunua toka ile siku ya kwanza niliyoinunua niligundua ina matatizo ukikopi movie inakuwa ina distortation ukiweka wimbo unakuwa unakatakata
 
Hayo maflash mabovu sana kuna moja nilinunua toka ile siku ya kwanza niliyoinunua niligundua ina matatizo ukikopi movie inakuwa ina distortation ukiweka wimbo unakuwa unakatakata
Flash zipi mbovu mkuu ?
 
Back
Top Bottom